.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Septemba 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA 17 WA DHARURA WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi wenzie wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Sehemu ya waliohudhuria wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
                                                                                                             Ujumbe wa Burundi
                      Sehemu ya mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
                                                                              Wageni kutoka nchi wanachama
                                          Mabalozi wa nchi mbalimbali wakiwa mkutanoni hapo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano. Anafuatiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi maalum wa Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu (kushoto) wakiwa na viongozi wastaafu wa Jumuiya
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano. Kushoto kwake ni Rais Paul Kagame wa Rwanda, Mwakilishi wa Rais wa Sudan ya Kusini Mhe Aggrey Tisa Sabuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein. Kulia kwake ni Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto na mwakilishi wa Rais wa Burundi na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Balozi Alain Aime Nyamitwe
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongoza mkutano akiwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Liberat Mfumukeko
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiendelea na hotuba yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni