.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Septemba 2016

REAL MADRID YAICHAPA ESPANYOL NA KUENDELEA KUJIKITA KILELENI

Timu ya Real Madrid imeifunga Espanyol katika ushindi wa mfululizo wa timu hiyo katika ligi ya La Liga kwa ushindi wa magoli 2-0.

Magoli kutoka kwa James Rodriguez na Karim Benzema yalitosha kuipatia Real Madrid ushindi na kuongoza ligi hiyo kwa pointi 14.

Real Madrid, ikiwa bila Gareth Bale na Cristiano Ronaldo ikishuka katika dimba la Cornella-El Prat, na kupata ushindi wanne katika msimu huu.
                                 James Rodriguez akiachia shuti lililoandika goli la kwanza 
                    Karim Benzema akijipinda na kuachia shuti lililoandiga goli la pili

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni