.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Septemba 2016

WAZIRI WA FEDHA AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAPATO (TRA)

wazi1
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kulia), akifanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata (kushoto), kujadili masuala mbalimbali ya Usimamizi wa Kodi wakati Waziri huyo alipotembelea Makao Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016.
wazi2
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata (kulia), akimpokea Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), wakati Waziri huyo alipotembelea Makao Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016, kujadili masuala mbalimbali ya Usimamizi wa Kodi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni