Usikose kuungana na Mubelwa Bandio leo (Oktoba 6, 2016) saa kumi na mbili jioni kwa saa za Marekani Mashariki (6:00pm ET) katika mahojiano ya moja kwa moja na M'bunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM Mhe. Peter Serukamba.
Tutajadili mengi kuhusu Tanzania yetu ya sasa na ile tuitakayo, nawe utapata fursa ya kuuliza swali, kutoa maoni na hata kushauri.
Ni kupitia
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni