.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Oktoba 2016

ASKARI WALIOKUWA MAFUNZONI 59 PAMOJA NA WALINZI WAUWAWA NCHINI PAKISTAN

Askari waliokuwa mafunzoni 59 pamoja na walinzi wameuwawa na wapiganaji walioshambulia chuo cha polisi nchini Pakistani katika mji wa Quetta.

Wapiganaji watatu waliokuwa wamevalia fulana zenye mabomu, waliingia kwenye chuo hicho na kutekeleza shambulizi hilo.

Operesheni kubwa ya kijeshi ilifanyika kwa saa kadhaa ambapo wapiganaji hao nao wameuwawa, huku watu wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa.
                           Mmoja wa majeruhi akibebwa na askari wenzake nchini Pakistani

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni