Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia Riadha katika Kijiji cha Kimbwi
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakitazama namna wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi Mwandishi wa www.wazo-huru.blogspot.com akimsaidia kufanya mazoezi ya kuimarisha misuli Mshindi wa Ikungi Half Marathon 2016 kwa upande wa wananwake kwa umbali wa Kilomita 21
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni