Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho
hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba.
Humu utapata kujua
juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya
wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5
zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni