Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza kabla ya
kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Mkutano wa Sita wa
Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC)
Oktoba 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Meneja Mkuu wa Malipo wa Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO), Francis Mcharage cheti cha kuthamini michango
ya wafanyakazi wa shirika hilo kwa NSSF kila mwenzi wakati
alipofungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa
cha Mikutano cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Watatu kushoto ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na wapili kushoto
ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde. Kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF, Profesa Samuel Wangwe.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti
na Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, Irene Isaka baada ya
kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Kushoto ni Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde na kulia ni Mkuu wa mkoa wa
Arusha, Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kufungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Oktoba 20, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni