Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (wapili kulia), Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. Kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Msalala, Benedicto Manuari (kushoto) na Diwani wa Kata ya Isaka, Gerlard Mwanzia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni