Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama Spring zinazotumika kutengeneza magoro wakati aliopotembelea kiwanda cha Magodoro Dodoma Oktoba 2, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Haidary Gulamali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodma, Haidary Gulamali, magodoro 200 yenye thamani ya shilingi milioni 10 ukiwa ni msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika baada ya Waziri Mkuu kutembelea kiwanda hicho Oktoba 2, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Magodoro Dodoma baada ya kutembelea kiwanda hicho Oktoba 2, 2016. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Haidary Gulamali na kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana na wapili kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni