.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Oktoba 2016

MAKAMO WA RAIS WA CUBA AKUATANA NA DK.SHEIN

cb1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
cb2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
cb3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (wa tatu kulia) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.

cb4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa (kushoto) mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa Nchini kwa ziara ya siku mbili na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.

cb5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.
cb10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni akiwa katika ziara ya siku mbili pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.] 03/10/2016.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni