Aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mh Masaburi pia alipata kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki. Taarifa zaidi kukujia baadaye.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni