Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya (wa kwanza kushoto) akieleza jambo wakati alipotembelea ofisi za kampuni ya Kamal ili kupokea na kuangalia saruji zilizokabidhiwa na ofisi hiyo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya kutengeneza chuma ya Kamal ltd Bw. Gagan Gupta (wa kwanza kulia) akizungumza jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu walipofika katika ofisi hizo kuangalia msaada wa safuji mifuko 640 unaosafirishwa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya kutengeneza chuma ya Kamal ltd wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen Mbazi Msuya mara baada ya kuangalia msaada wa saruji mifuko 640 uliotolewa na kampuni hiyo tayari kwa kusafirisha mkoani Kagera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni