Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
BONDIA ROJAS MASAM |
BONDIA EMILIO NORFAT |
BONDIA IDD PIALALI |
BONDIA PIUS KAZAULA |
Bondia Pius Kazaula wa Morogoro kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Idd Pialali kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Idd Pialali wa Bagamoyo kulia akisaini mkataba wa kuzipiga novemba 12 na Pius Kazaula wa Morogoro kuwania ubingwa wa U.B.O Afrika mpambano utakaopigwa kwa raundi 12 katikati ni Katibu Mkuu wa P.S.T Anthony Rutagamba Picha na SUPER D BOXING NEWSMABONDIA PIUS KAZAULA WA MOROGORO KUSHOTO NA IDD PIALALI WA BAGAMOYO WAKIPITIA MIKATABA YAO KABLA YA KUSAINI KUZIPIGA NOVEMBA 12 BAGAMOYO MKOA WA PWANI
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni