PROFESA MAGHEMBE AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI WANYAMAPORI KITUO MLELE KATAVI
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya ukakamavu ambao ni wahifadhi wa wanyama pori kutoka TANAPA , Mamlaka ya Ngorongoro na TAWA mafunzo yaliofanyika katika kituo cha Mlele Mkoa wa Katavi mafunzo hayo yamewashirikisha wahitimu 69 na yalifungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe ambapo alieleza kuwa Serikali itaendelea kulinda maliasili kwa nguvu zote. Picha na Walter Mguluchuma
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya askari wanyamapori katika kituo cha Mlele mkoani Katavi.
Waziri wa Maliasili na utalii Prof Jumanne Maghembe akikagua gwarid la wahifadhi wanyamapori kutoka TANAPA,TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo yaiyofanika katika kituo cha mafunzo mlele Mkoani KATAVI.
Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi waziri wa utalii hayupo pichani wakati wa kufunga mafunzo ya wahifadhi wanyama pori kutoka TANAPA,TAWA, na Mamlaka ya Ngorongoro yaliyofanyika kituo cha Mafunzo Mlele Mkoani KATAVI.
Wahifadhi wa Wanyama pori kutoka TANAPA , TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakilenga shabaha kwa kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo jana yaliyofungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe katika kituo cha mafunzo cha Mlele Mkoani Katavi .

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni