.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESA KILICHOPO MWANDEGE MKURANGA MKOANI PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakiangalia mojawapo za hatua za usindikaji wa matunda aina ya maembe katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitendea kazi vya maabara katika kiwanda hicho cha usindikaji wa Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakwanza (kulia), Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega wakivuta kamba kwa pamoja kuashiria ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada ya kufungua rasmi kiwanda cha Usindikaji wa Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa mara baada ya ufunguzi wa kiwanda hicho. PICHA NA IKULU



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni