.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 20 Oktoba 2016

RAIS DKT SHEIN AZUNGUMZA NA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WAZEE,VIJANA,WANAWAKE NA WATOTO

z1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
z2
Viongozi katika Wizara ya Viongozi katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto wakiwa katika kikao siku moja cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
z3
Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico akisoma utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
z4
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Bi.Fatma Gharibu Bilali (kulia) akifafanua vifungu vya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Mshauri wa Rais ushikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Ikulu Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.
z5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (katikati) wakati akichangia katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico
z6
Mkurugenzi wa Ajira Ameir Ali Ameir katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto akielezea mifumo na utaratibu wa Ajira wakati katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/10 /2016.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni