.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Oktoba 2016

TAASISI YA KUPAMBANA NA UMASIKINI TANZANIA YAVIWEZESHA VIKOBA 102

 Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akizungumza na wadau mbalimbali wa vikoba wakati wa mkutano wa kujadili mambo malimbali ya kuimarisha wakazi wa Temeke na kuwapatia mitaji na uwezo wakujikwamua kimaisha
Afisa Msaidizi Kitengo cha madeni sugu na mwezeshaji mafunzo ya ujasiliamali, Abdallah Kavinga (kushoto) akizungumza na wadau hao wakati wa mkutano na wadau hao uliofanyika Kata ya 15 Dar es Salaam
                                                   Baadhi ya wadau walioshiriki katika Mkutano huo
Mkurugenzi waPoverty Fighting Tanzania (PFT), Ally Manjasi (kushoto) akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo, kuliani Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu
        Baadhi ya Wawezeshaji wa Zone mbalimbali wakiratibu mabo mbalimbali



Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Keko Tolori, Flora Wazingwa akishukuru uongozi mzima waTaasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) baada ya kumalizika mkutano huo ambapo aliomba uongozi huo kuzitatua changamoto mbalimbali wanazo pambana nazo na kuwapatia Elimu ya mafunzo ya jinsi ya kupata Faida kufikia malengo na mafanikio katika Vikundi vyao

Hayo yamefanyika Temeke Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa naMwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT), Abbas Mtemvu alipokuwa akizungumza na wanachama wa vikundi vya vikoba 102 kwa lengo la ikiwa ni kuwainua na kuwasaidia katika hali za kimaisha (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni