Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Dkt. Charles Mwijage akizungumza katika mkutano kati yake na Naibu wa Viwanda wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Dkt. Qian Keming. Mazungumzo yao yalijikita katika kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na China katika kuboresha miundombinu.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji wakisaini Mkataba wa Makubaliano ya Kushirikiana katika masuala ya uchumi na teknolojia
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ramadhani Muombwa Mwinyi (katikati), na Mwakilishi kutoka Kituo cha Uwekezaji wa Tanzania kwa pamoja wakishuhudia uwekwaji saini katika mkataba huo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni