Mshauri
wa soka la maendeleo ya vijana, Kim Poulsen (mwenye jezi ya bluu) na
rafiki yake, Benny Pedersen wakisimamia mazoezi ya viungo ya timu ya
vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa
Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance
wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka
17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka
2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)
Vijana wa timu hiyo wakiwa hima kupambana uwanjani kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni