Bondi wa uzito wa juu Muingereza
Tyson Fury amepiga picha na mikanda yake aliyotwaa kwa mara ya mwisho
wakati akijiandaa kuisalimisha kwa mamlaka husika za mchezo huo.
Fury anatarajiwa kupatiwa tiba ya
msongo wa mawazo na mashirikisho ya WBA na WBO yanatarajia kumpokonya
mikanda yote baada ya kukiri kutumia cocaine.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni