WATANZANIA WAASWA KUITUNZA NA KUOMBEA AMANI YA NCHI
Kiongozi mkuu wa kanisa la Ukombozi ,Nabii B.G Malisa akizungumza na waandishi wa habari mara baada tu ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) leo ambapo atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8 katika viwanja vya reli jijini Arusha
Umati wa wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa Kilimanjaro (KIA) kumpokea Nabii B.G Malisa ambaye atakuwa na mkutano wa maombezi wa siku 8 katika viwanja vya reli jijini Arusha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni