.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 19 Oktoba 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHAMASISHA WATU WENYE UWEZO MASHIRIKA KUSAIDIA HUDUMA ZA KIJAMII


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemshukuru Mbunge wa Viti Maluum ccm Mkoa wa Lindi Amida Abdalah kwa kuchangia mabati mia moja kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wazazi katika Hospitali ya wilaya ya Ruangwa katikati ni Mama Majaliwa na kushoto kulia kwa Waziri Mkuu ni mganga mkuu wa wilaya ya Ruangwa Dr Japhet Simeo makabidhiano hayo yamefanyika katika Hospitali Ruangwa. Picha na Chris Mfinanga
Mama Majaliwa akiwasalimia wauguzi na wananchi waliojitokeza katika makabidhiano ya mabati mia moja yaliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Lindi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi na Mganga mkuu wa Hospitali ya Ruangwa Dr Japhet Simeo wakati waziri mkuu alipotembelea Hospitali ya Wilaya Ruangwa Mkoa wa Lindi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni