Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Liwale Sarah Chiwanga ambaye nimiongoni wa viongozi wa mkoa wa Lindi waliofika katika kiwanja cha ndege Nachingwea kumpokea Waziri mkuu na mkewe Mary Majaliwa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi ambao wamewasili katika Mkoa wa Lindi kwa ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Ruwangwa. Picha na Chris Mfinanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mery Majaliwa wakimsalimia Bahati Omary kutoka kijiji cha Nangao Wilaya Liwale ambaye amejifungua mtoto wa kike katika Hospitali ya wilaya ya Nachingwea Waziri mkuu alifika katika Hospitali hapo kujionea jinsi huduma za afya zinavyo tolewa kwa wagonjwa waziri mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Ruwangwa Mkoani Lindi. Picha na Chris Mfinanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na watumishi wa Hospitali ya Nachingwea pamoja na wananchi waliofika katika Hospitali ya nachingwea Waziri Mkuu alifanya ziara ya kutembelea hospitalini hapo kwa ajili yakuona na kusikiliza wagonjwa wanavyo pata huduma.
Picha na Chris Mfinanga
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni