WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASIKITISHWA NA MWEKEZAJI KUBADILI MATUMIZI YA KIWANDA NA KUKITELEKEZA NAKUWA PORI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiangalia kiwanda cha ILULU kilichokuwa kinatengeneza mafuta ambacho muekezaji amekifanya kuwa Ghala nakukitelekeza na watu kuiba vifaa na kufanya uharibifu mkubwa. Kiwanda hicho kipo wilaya ya Rungwe Mkoani Lindi. Waziri Mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Rungwe Mkoani Lindi. Picha na Chris Mfinanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia baadhi ya magari yalivyo haribika ambayo yalikuwa yanamilikiwa na kiwanda cha kukamua ufuta ILULU kiwanda hicho kipo wilayani Nachingwea Mkoani lindi ambapo mwekezaji aliyekichukua amebadili matumizi na kukifanya Ghala la kuhifadhia bidhaa. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi. Picha na Chris Mfinanga
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni