.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 12 Novemba 2016

BALOZI SEIF AMJULIA HALI KAMISHNA WA ZEC MH. MAPURI


Makamu wa Pili wa Rauis wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi akimjulia hali Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar { ZEC } Mh. Omar Ramadhan Mapuri aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili Jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu kutokana na kudhoofika kwa afya yake. Kati kati yao ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Iddi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais waZanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed akimpa pole Mh. Mapuri aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili akipatiwa matibabu.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi akimpa pole Bibi Shekha Mohammed Salum Kizuka wa Mbunge wa Jimbo la Dimani Marehemu Hafidh Ali Tahir hapo matangani Kijijini kwa Mbunge huyo Maungani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Kulia ya Balozi Seif ni Kaka wa Marehemu Hafidh Ndugu Shibu Ali Tahir.  
Picha na – OMR – ZNZ.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni