Bilionea mmoja nchini Hong Kong
ametoa tangazo la ukurasa mzima kwenye gazeti la nchi hiyo kutangaza
kutengana na mpenzi wake.
Joseph Lau Luen-hung amesema katika
tangazo hilo kuwa amevunja uhusiano wake na Yvonne Lui, ambaye
alimunulia zawadi zenye thamani ya dola bilioni 0.26 za Marekani.
Bw. Lau anashika nafasi ya 65 kwa
utajiri duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes akiwa na dola bilioni
13.1.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni