Edin Dzeko amejikuta akilambwa kadi
nyekundu baada ya kufanya kitendo cha ajabu kufuatia kumvua bukta
mchezaji wa Bosnia & Herzegovina katika mchezo wa kuwania kufuzu
fainali za kombe la dunia 2018.
Mchezaji huyo wa zamani wa
Manchester City alitolewa nje na refa Jonas Eriksson kutokana na
kitendo hicho na kurushiana maneno na mchezaji Kyriakos Papadopoulos
katika mchezo huo Ugiriki ilitoka sare ya goli 1-1.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni