Kiwango kizuri alichoonyesha Gabriel
Jesus kimeisadia Brazil kushinda magoli 2-0, dhidi ya Peru siku ya
jumanne, katika mchezo wa kuwania kufuzu kutinga kombe la dunia na
kuifanya kuongoza kundi lao kwa tofauti ya pointi nne.
Magoli hayo mawili yaliyofungwa
katika kipindi cha pili, la kwanza likifungwa na Mchezaji huyo wa
Manchester City Gabriel Jesus na kumtengenezea goli la pili Renato
Augusto, yalitosha kuipatia pointi tatu Brazil huko Lima dhidi ya
wenyeji wao.
Gabriel
Jesus akiwa amepachika mpira wavuni baada ya kumhadaa kipa wa Peru
Mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar akimpiga chenga mchezaji wa Peru
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni