.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Novemba 2016

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA 21 WA WANANSHERIA WA AFRIKA YA MASHARIKI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Mwaka wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afika ya Mashariki kwenye ​ Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanansheria Afrika ya Mashariki, Wakili Nassor Hamis baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016. Wapili kushoto ni Naibu Spika, Dkt.Tulia Ackson, Watatu kushoto Jaji Kiongozi, Frednand Wamabali, wanne kushoto ni Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju na kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt Harrison Mwakyembe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt, Harrison Mwakyembe (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ​baada ya kuwasili kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Wanansheria wa Afrika ya Mashariki Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 21 wa mwaka wa Chama cha Wanansheria Afrika Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Rais wa Chama cha Wanansheria Afrika Mashariki Wakili Nassor Hamis Mohmmed (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) baada ya kufungua ​Mkutano wa Mwaka wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afrika ya Mashariki kwenye ​ Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha na ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa 21 wa Wanansheria Afrika ya Mahariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe baada ya kufungua mkutano wa 21 wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 25, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni