Wazirii Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Nkansi Kaskazini, Ally Kessy wa Nkansi (katikati) na Livingstone Lusinde wa Mtera kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Bovemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni