Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la
Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1,
2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbozi Magharibi, David
Silinde (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Lymo kwenye jengo
la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni