.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Novemba 2016

MAZISHI YA MAREHEMU MZEE RICHARD BINAGI YAFANYIKA JIJINI DA ES SALAAM.

Mazishi ya Mzee Richard Binagi aliyefariki dunia Jumanne Novemba 08,2016 Jijini Dar es salaam baada ya kuugua, yamefanyika jana Jumamosi Novemba 12,2016 nyumbani kwake Segerea Jijini Dar es salaam.

Marehemu Mzee Richard Binagi alizaliwa mwaka 1928 Tarime mkoani Mara hivyo hadi mauti yanamkuta (2016), alikuwa na miaka 88 ambapo alikuwa ni askari mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), cheo cha Luteni Kanali. Na BMG
Taratibu za kuuaga mwili wa Mzee Binagi zikifanyika
Askari wa JWTZ wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Mzee Richard Binagi
Askari wa JWTZ wakiusindikiza malaloni mwili wa Mzee Richard Binagi
Gwaride la heshima
Gwaride la heshima
Askari wa JWTZ wakitoa heshima zao
Wanafamilia (Profesa Lloyd Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua
Wanafamilia (Mzee Chacha Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua
Wanafamilia (Mama Binagi) akiweka shada la maua
Wanafamilia (Zakari Binagi na mkewe) wakiweka shada la maua
Wanafamilia wakiweka shada la maua
Wanafamilia wakiweka shada la maua
Wanafamilia wakiweka shada la maua
Wanafamilia
Wanafamilia
Wanafamilia
Ndugu, jamaa na marafiki

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni