Rais Barack Obama ameangusha bonge
la sherehe ya Halloween katika Ikulu ya Marekani hapo jana, ambapo
yeye na mkewe walicheza wimbo wa Thriller wa Michael Jackson.
Obama na Mkewe Michelle waligawa
zawaidi mbalimbali kwa watoto wanajeshi, wa Marekani walioalikwa
zikiwemo za pipi.
Michelle Obama akifurahia jambo na mtoto aliyevalia nguo kama mtoto wa bata
Rais Obama na Mkewe Michelle wakigawa zawadi za tofi kwa watoto
Michelle Obama akichangamsha sherehe hiyo huku mumewe rais Obama akimuangalia na kucheka
Sherehe hiyo ya Halloween iliendana na sarakasi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni