Rais Barack Obama ametoa kwa mara ya
mwisho medali zinazotolewa na rais za Uhuru, kwa majina makubwa ya
nyota wa Hollywood, wanamichezo pamoja watu wenye kujitolewa kusaidia
jamii.
Rais Barack Obama akimvalisha medali mwanamuziki Diana Ross
Rais Barack Obama akimvalisha medali muigizaji filamu Tom Hanks
Rais Barack Obama akimvalisha medali muigizaji filamu Robert De Niro
Rais Barack Obama akiwa amemvalisha medali mchekeshaji Ellen DeGeneres
Rais Barack Obama akimvalisha medali mchezaji wa mpira wa kikapu nyota wa zamani Kareem Abdul-Jabbar
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni