Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha
Kimasai akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akizungumza na wanahabari mara baada ya
kumaliza mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais
wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.









Hakuna maoni :
Chapisha Maoni