.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 9 Novemba 2016

WAMAREKANI WAFANYA FUJO NA KUPIGANA KUPINGA USHINDI WA DONALD TRUMP

Ushindi wa Donald Trump umeibua maandamano katika maeneo tofauti ya Marekani huku baadhi ya waandamanaji wakiwasha moto taka, kuvunja vioo vya madirisha na kuchoma moto bendera ya Marekani.

Wafuasi wa Donald Trump na Hillary Clinton wamepigana nje ya Ikulu ya Marekani huku wananchi wengi wakishindwa kuamini ushindi wa kushangaza wa Trump katika uchaguzi wa rais uliokuwa na ushindani mkali.
 Taka zikiwa zimewashwa moto na Wamarekani waliochukizwa na ushindi wa Donald Trump
                           Wafuasi wa Donald Trump na Hillary Clinton wakizichapa ngumi mitaani 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni