.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Desemba 2016

ATHARI ZA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Ngombe na mbuzi wakiwa wamesongamana chini ya mti pekee uliokuwepo katika eneo lililopo karibu na Shule ya sekondari ya Oljoro mkoani Arusha wakifuata kivuli ili kujikinga na jua Desemba 17, 2016. Uharibifu wa mazingira unaosabishwa na shughuli za binadamu hasa ukataji miti hovyo unaathiri hata viumbe wengine kama picha inavyoonyesha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa amejipumzisha katika eneo lililoathiriwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu katika kijiji cha Ormapinu, Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakiwa wamebeba bango lenye maneno yanayoeleza suala la uharibifu wa mazingira kuwa ni tatizo kwao katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Ondenderet, Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni