Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, Michael Mgaya akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Kuzaliwa Yesu Kristo ya Krismasi asubuhi Waumini wakiomba wakati wa ibada hiyo Waumini wakimwimbia Yesu Kristo Waumini wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu Kristo
Jumapili, 25 Desemba 2016
KANISA LA KKKT KIVULE DAR WAMPIGIA SALUTI YESU KRISTO IBADA YA KRISMASI
Wanakwaya wa Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakimpigia saluti Yesu Kristo walipokuwa wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu wakati wa Ibada ya Krismasi.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, Michael Mgaya akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Kuzaliwa Yesu Kristo ya Krismasi asubuhi Waumini wakiomba wakati wa ibada hiyo Waumini wakimwimbia Yesu Kristo Waumini wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu Kristo
Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea, Spear Patrick (kushoto) na mkewe wakishiriki kuimba wimbo wa kuzaliwa Yesu Kristo
Lusekelo Mwaikenda (kushoto) ambaye ni Mtoto wa mmiliki wa Blog hii, Richard Mwaikenda akiwa miongoni mwa waumini akishiriki kuimba wimbo wakati wa Ibada ya Krismasi
Waumini wakiomba
Mwinjilisti Michael Mgaya (wa pili kushoto) akitoa neno alipokuwa akihitimisha Ibada ya Krismasi
Waumini wakiondoka baada ya Ibada ya Krismasi kumalizika
Mpigapicha wa kupitegemea, Spear Patrick akipiga picha na familia yake pamoja na familia ya mmiliki wa blog hii, Richard Mwaikenda baada ya kumalizika kwa Ibada ya Krismasi
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, Michael Mgaya akitoa mahubiri wakati wa Ibada ya Kuzaliwa Yesu Kristo ya Krismasi asubuhi Waumini wakiomba wakati wa ibada hiyo Waumini wakimwimbia Yesu Kristo Waumini wakiimba wimbo wa kumsifu Yesu Kristo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni