Manchester City imekwea hadi nafasi
ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya Arsenal
kuongoza kufunga na kujikuta ikipoteza mchezo huo.
Theo Walcott alifunga goli la kwanza
akimalizi vyema pasi ya Alexis Sanchez na kuifanya Arsenal iongoze
katika dakika ya tano ya mchezo.
Hata hivyo kipindi cha pili kilikuwa
kichungu kwa kocha Arsene Wenger na wachezaji wake baada ya Leroy
Sane kuzawazisha goli na Raheem Sterling kufunga la pili.
Theo Walcott akishangili goli alilofumga kwa kunyoosha kidole
Leroy Sane akiwa amekumbatia mpira baada ya kusawazisha goli
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni