Polisi wa Uturuki amempiga risasi na
kumuua balozi wa Urusi nchini Uturuki, Andrei Karlov, katika tukio la
kupinga Urusi kujitumbukiza katika mapigano ya Aleppo.
Muuaji huyo ametambulika kama Mevlut
Mert Aydintas, 22, askari wa kikosi cha kutuliza ghasia cha Ankara.
Muuaji Mevlut
Mert Aydintas akinyoosha mkono juu baada ya kumua balozi wa Urusi aliyelala chini sakafuni.
Mwili wa muuaji Mevlut
Mert Aydintas baada ya kushambuliwa na polisi na kuuwawa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni