RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WAMTEMBELEA ASKOFU MKUU POLYCARP KARDINALI PENGO
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada yake nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais
wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki
Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa
pole kwa kufiwa na dada yake nyumbani kwake Kurasini jijini Dar es
salaam leo Desemba 23, 2016
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni