.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 3 Desemba 2016

RAIS MTEULE TRUMP AVUNJA SERA YA KUTOONGEA NA TAIFA LA TAIWAN

Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameongea moja kwa moja na rais wa Taiwan, na kuvunja sera ya Marekani iliyowekwa mwaka 1979 baada ya kuvunja uhusiano wao.

Timu ya Trump imesema rais huyo mteule na rais Tsai Ing, wamezungumzia kuhusu kuwa na uhusiano wa karibu wa kiuchumi, kisiasa na wa kiusalama baina ya Marekani na Taiwan.

Hatua hiyo ya Trump, inaweza ikaichukiza China ambayo inayoano nchi ya Taiwan kama mkoa wake uliojitenga.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni