Serikali ya Gambia imepiga marufuku
intaneti na simu za kimatifa wakati uchaguzi mkuu ukifanyika katika
taifa hilo la Afrika ya Magharibi.
Maafisa wa serikali wamepiga
marufuku maandamano ili kuepusha machafuko baada ya matokeo ya
uchaguzi.
Wakala wa majengo Adama Barrow
anachuana na rais Yahya Jammeh, ambaye amesema neema ya Mungu
itamfanya ashinde urais kwa muhula wa tano.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni