.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Desemba 2016

ZIARA YA MAJALIWA KARATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakijiji wa Qangded wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Wananchi hao walizuia msafara wake wakitaka awasikilize.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa umwagiliaji wa kijiji cha Mbuga Nyekundu wilayani Karatu uliojengwa na Shirika la World Vision Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mahindi yaliyolimwa kwa kumwagiliwa katika kijiji cha Mbuga Nyekundu wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa maji wa kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Mradi huo umejengwa na Shirika la World Vison. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, risho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Kassim Majaliwa akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Mradi huo umejengwa na Shirika la World Vision. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya maji Mwalimu Frida Shayo baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mradi huo umejengwa na Shirika la Worl Vision.(Picha na Ofisiya WaziriMkuu)



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni