.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Desemba 2016

WAZIRI MKUU WA ITALIA MATTEO RENZI ATANGAZA KUJIUZULU

Waziri Mkuu wa Italia Bw. Matteo Renzi amejiuzulu baada ya kushindwa vibaya katika kura ya maoni kuhusiana na mpango wake wa kuifanyia mabadiliko Katiba ya nchi hiyo.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika usiku, Renzi amesema anawajibika kwa matokeo hayo, na kusema kwa sasa kambi zote zisiandae mapendekezo yoyote.

Zikiwa tayari kura nyingi zimehesabiwa kura ya hapana inaongoza kwa asilimia 60 dhidi 40 za hapana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni