.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 5 Desemba 2016

WAZIRI MKUU WA NEW ZELAND JOHN KEY AMETANGAZA KUJIUZULU

Waziri Mkuu wa New Zeland John Key ametangaza kujiuzulu wadhifa huo aliokuwa nao kwa miaka nane, kutokana na sababu za kifamilia.

Key amesema kujiuzulu kwake ni uamuzi mgumu mno kuwahi kuufanya, na kuongea kwa majonzi kuwa hajui nini atafanya baada ya hapo.

Key ambaye ni kiongozi mashuhuri, amesema jambo hilo ni uamuzi binafsi na kukanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa mkewe Bronagh amemshinikiza kujiuzulu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni