Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani akiwasalimia wachezaji wa Karakana City wakati akikagua timu za mchezo wa Nage zilizoingia Fainali ya Mashindano ya Nage Mapinduzi CUP 2016-2017. Aliyevaa kofia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, ambaye ndiyo mwandaaji wa Mashindano hayo. Ngonyani aliyafunga Mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Amani, mjini Unguja, Zanzibar. Katika mashindano hayo, timu ya Six Centre iliibuka mshindi dhidi ya timu ya Karakana City zote za mjini Unguja. Picha zote na Felix Mwagara.
Jumapili, 15 Januari 2017
MASHINDANO YA NAGE MAPINDUZI CUP YAFIKIA TAMATI, NAIBU WAZIRI NGONYANI, MASAUNI WAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani akiwasalimia wachezaji wa Karakana City wakati akikagua timu za mchezo wa Nage zilizoingia Fainali ya Mashindano ya Nage Mapinduzi CUP 2016-2017. Aliyevaa kofia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, ambaye ndiyo mwandaaji wa Mashindano hayo. Ngonyani aliyafunga Mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Amani, mjini Unguja, Zanzibar. Katika mashindano hayo, timu ya Six Centre iliibuka mshindi dhidi ya timu ya Karakana City zote za mjini Unguja. Picha zote na Felix Mwagara.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni