.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Januari 2017

MWANAMUZIKI JANET JACKSON AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Mwanamuziki wa Marekani Janet Jackson amejifungua salama mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.

Mkali huyo wa ngoma ya That's The Way Love Goes na mumewe Wissam Al Mana wamemkaribisha kwenye familia jana mtoto wao wa kiume Eissa Al Mana.
                           Wissam Al Mana akiwa amemshika mkono mkewe Janet Jackson

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni