Uingereza imekumbwa na upepo mkali
hii leo unaofikia kasi ya 125mph huku taifa hilo likiathirika kwa
umeme kukatika na safari kukwama.
Zaidi ya nyumba 2,000 zimekosa umeme
Kaskazini Mashariki, huku lori moja likiangushwa kwenye daraja
karibu na Edinburgh.
Miti na kuta imeanguka huko
Northumberland, huku Mtaa mmoja huko Newcastle ukifungwa kutokana na
athari za upepo huo.
Mti ukiwa umeiangukia nyumba baada ya kuangushwa na upepo
Matofali ya ukuta yakiwa yameangukia magari yaliyokuwa yamepaki
Meli ikikabiliwa na machafuko ya bahari kutokana na upepo mkali
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni